Nataka kuoa mke wa pili

jackhan

Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
11
Reaction score
57
Nimeoa na nina mtoto na dini yangu inaniruhusu kuoa mke mwingine kuna mwanamke nampenda sana niliwah kuwa nae kwenye mahusiano zamani ila nae alisha olewaga akapata na mtoto ila wakashindwana na mwenzie kwaiyo sasa yupo tu nataka kumuoa na uwezo wa kuwahudumia wote ninao
 
Manaake unataka kuoa single maza kama mke wa pili sindiyo?
 
Kwa ufupi umeanza tamaa.Unataka uoe mke wa mme mwenzio?Tafuta wako.
 
Unasababu yoyote ya kuongeza mke wa pili mkuu?
 
Kwahiyo umetuletea mualiko wana jf sio, haya tuwekee trh ya tukio mkuu.
 


Sio single m
Nazani sio single mother wote Kwamba hafai kuwa wife materials.
Nazani kuna % ndogo ambao wako wanafaa.
Tena wengine wameshajifunza baada ya mapito ukimuoa anatulia tu na kukupa utulivu wa nafsi .
Hata siku yako hashiki nankukufuatilia.

Sema bana maturity has nothing with ages.

Kuna wanawake wana zaidi ya miaka z10 kwenye ndoa , watoto wakubwa lakini akili zao za hivyo hujawahi kuona.
And they are not open minded wives.
They are not ready to learn and improve.
Wamejaa mapokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…