Ndondombi Mulin JF-Expert Member Joined Mar 13, 2016 Posts 413 Reaction score 1,868 Jul 22, 2024 #21 jackhan said: kuna mwanamke nampenda sana niliwah kuwa nae kwenye mahusiano zamani ila nae alisha olewaga akapata na mtoto ila wakashindwana na mwenzie kwaiyo sasa yupo tu nataka kumuoa na uwezo wa kuwahudumia wote ninao Click to expand... DAIMA Hauwezi kufanikiwa mahali ambapo Mwanaume mwenzako ameshindwa. Acha kujiona Special. Mwanamke aliyekuacha akaenda kuolewa, kisha ameachika na wewe unataka umuoe. Hilo ni BONGE LA KOSA. Usipoelewa maneno haya basi Mazingira yatakufundisha vizuri zaidi.
jackhan said: kuna mwanamke nampenda sana niliwah kuwa nae kwenye mahusiano zamani ila nae alisha olewaga akapata na mtoto ila wakashindwana na mwenzie kwaiyo sasa yupo tu nataka kumuoa na uwezo wa kuwahudumia wote ninao Click to expand... DAIMA Hauwezi kufanikiwa mahali ambapo Mwanaume mwenzako ameshindwa. Acha kujiona Special. Mwanamke aliyekuacha akaenda kuolewa, kisha ameachika na wewe unataka umuoe. Hilo ni BONGE LA KOSA. Usipoelewa maneno haya basi Mazingira yatakufundisha vizuri zaidi.