Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Ila wkt mwingine ni wepesi sana kuliwa kuliwaliwa..akiona una pesa vya kubadilisha chakula
Hahahah mchawi mjapani tu. Hapo ukute kijamaa chake nacho ni kiticha lazma kilizwe tu.😂😂😂
 
Mwalimu Nyerere alikuwa Mwalimu , alifundisha Pugu sekondari kama siyo Minaki sec,
Anko Magu nae nazani alikuwa Mwalimu kama sijakosea, Shule alizofundisha ndo sizijui
 
Mwl yupi? Nyerere au mbona una laana wew unaweza kumuoa baba wa taifa au mama maria????!!!!!
 
Habar zenu wanabodi. Kumekuwa na fununu kuwa walimu aka maticha ndo watulivu kwa ndoa, hawana mambo mengi na ni watiifu ndomana wanaolewa sana. Yaani wanajua kaa na mwanaume

Jamani kwa wale ambao mmeoa maticha nipeni hints ni kweli wanayosema kuhusu maticha?.
Mrejesho
 
Back
Top Bottom