Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Unaoa mwanamke ualimu ni taaluma tu vigezo vya wife material lazima uzingatie.
 
Kiongozi hiyo lugha ikoje hapo? Unaoa mwalimu au unaoa mtu mwenye taalum ya ualimu?
 
Ilikuwa zamani,now ma_madam wengi ni mizinguo,hiki kizazi cha hiyo kada siyo kile cha zamani,now ni wadangaji tu,thus why walimu/madams wasimbe ni wengi sana..
 
Mm pindi natafuta mwenza sijavutiwa na hawa walimu,wanaendekeza shida,pia wanadanga na wakubwa zao sitaki kusikia hawa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…