Nataka kuoa mwanamke wa pili,changamoto na faida zipi nitakutana nazo?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,723
Reaction score
19,715
Wakuu,

Sina mengi ila nataka kujua toka kwa wajuvi wa mambo ya ndoa kuwa,kuna changamoto gani na faida gani ukioa wanawake wawili.

Ushauri wenu ni muhimu sana kabla ya kuongeza mke wa pili.
Karibuni.
 
Utakuwa nazo mbili, ukikosa huku unapata kule.
Oa tuu.
 
Ni sawa na kuongeza gharama za maisha kwa kipato kile kile
 
Wakuu,

Sina mengi ila nataka kujua toka kwa wajuvi wa mambo ya ndoa kuwa,kuna changamoto gani na faida gani ukioa wanawake wawili.

Ushauri wenu ni muhimu sana kabla ya kuongeza mke wa pili.
Karibuni.
Wake wawili, uchumi wako tu
 
Ukiwa na gari moja ukaongeza gari nyingine gharama za uendeshaji zinaongezeka.

NB: gari ya kutembelea (starehe)
 
Sina hata demu kwa sasa. Siwezi kukushauri.
 
Back
Top Bottom