Nataka kuoa mzungu, ni wapi nitawapata? Iwe kwenye mtandao ni kwenye mtandao upi nimedhamiria

Nataka kuoa mzungu, ni wapi nitawapata? Iwe kwenye mtandao ni kwenye mtandao upi nimedhamiria

Midazolam

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
807
Reaction score
1,340
Kichwa cha habari kinajieleza na huu ndo utakuwa uzi wangu wa mwisho na labda tu kuleta mrejesho. Namtaka mzungu tu wa kike, nipe site wakuu humu ni mambo yote

Mimi uanaume wangu bado jipya kabisa, genius wamenielewa.
 
Nenda Ulaya mkuu wazungu wapo wa kumwaga kule utajichagulia unaemtaka.
 
Kama ni wakuoa unatafuta, basi Una kazi kweli kweli kumpata.

Ila kwasababu kwenye nia pana njia.
Pambania hilo dhumuni lako.

Ila inabidi uwe special kweli kweli, na uwe /kujiweka tofauti kidogo na wabongo wa kawaida.

Uwe na Hobbies /mambo ambayo wazungu wanapenda mf Adventures za kutembelea nature za dunia.
Uwe unapenda wanyama hasa mbwa na paka (sasa ushaona wapi ghetto la msela Lina paka).

Lugha yao uwe unaijua as expert na uwe unajieleza vizuri.

Usiwe unapenda Hela zao atleast in first dates .kila mtu anajigharamia kivyake.

Ukiwa na atleast Haya basi Tafuta connection inayoweza kukuweka karibu na wazungu, maana yuko mmoja atakupenda.

Otherwise kwenye Websites utakutana na waliopinda na wanaotaka starehe mtatumiana tu na huwezi kuoa au kuwa na mtoto Mzungu.

Maana huko kwenye websites wamejaa wazungu wanaume wanaotafuta escort za dada zetu wa kiafrika , kufanya nao starehe au kuwaambukiza maradhi (mf Mzungu wa Kenya).

Kila la kheri mkuu.
 
Kichwa cha habari kinajieleza na huu ndo utakuwa uzi wangu wa mwisho na labda tu kuleta mrejesho. Namtaka mzungu tu wa kike, nipe site wakuu humu ni mambo yote

Mimi uanaume wangu bado jipya kabisa, genius wamenielewa.
Kichwa cha habari kirefu kuliko habari yenyewe utaweza kumtunza Mzungu kweli wewe ??
 
Sikuhizi wazungu wamekuwa maskini...nao wa danga.

Bora ujitafutie mwanamke mweupemweupe umfanye mzungu wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom