Kama ni wakuoa unatafuta, basi Una kazi kweli kweli kumpata.
Ila kwasababu kwenye nia pana njia.
Pambania hilo dhumuni lako.
Ila inabidi uwe special kweli kweli, na uwe /kujiweka tofauti kidogo na wabongo wa kawaida.
Uwe na Hobbies /mambo ambayo wazungu wanapenda mf Adventures za kutembelea nature za dunia.
Uwe unapenda wanyama hasa mbwa na paka (sasa ushaona wapi ghetto la msela Lina paka).
Lugha yao uwe unaijua as expert na uwe unajieleza vizuri.
Usiwe unapenda Hela zao atleast in first dates .kila mtu anajigharamia kivyake.
Ukiwa na atleast Haya basi Tafuta connection inayoweza kukuweka karibu na wazungu, maana yuko mmoja atakupenda.
Otherwise kwenye Websites utakutana na waliopinda na wanaotaka starehe mtatumiana tu na huwezi kuoa au kuwa na mtoto Mzungu.
Maana huko kwenye websites wamejaa wazungu wanaume wanaotafuta escort za dada zetu wa kiafrika , kufanya nao starehe au kuwaambukiza maradhi (mf Mzungu wa Kenya).
Kila la kheri mkuu.