Nataka kuoa wapendwa

Ubachela shida sana mwanzo nilikua napiga usafi geto kila siku baadae nikachoka nikawa nafanya usfi baada ya wiki mbili baadae wik 3.

Nilikua napikia ges kila siku baadae nikachoka kupika na kuosha vyombo nikaamua kurudi kwa mama ntilie, ikawa siku nyingine nalala njaa kwasababu ya uvivu wa kupika...

Nikapiga hesabu nikagundua natumia gharama kubwa kula kwenye migahawa nikaamua kununua digital cooker nikaitumia kwa miez kama 6 nikachoka kuosha vyombo na kula ndizi na wali kila siku nikaacha kuitumia sahiv nmerud kweny migahawa na kulala njaa, ikafika wakat nikajuta had kununua fridge maana kuisafisha ni mziki alaf kwanza siwek kitu chochote...

Itoshe tu kusema mke ni wa muhimu Sana, ila mimi nakushauri uowe full back maana wanawake wa sahiv wanajidai wako bize na kaz za kiofis had hawajui majukumu yao ya msingi
 
Piga chini hao...Muombe Mungu, akuongoze upate totoz njema...ikibidi mshirikishe Mchungaji wako.

Asante mkuu kwa ushauri wako mrua,, ubarikiwe na Mungu akupe maisha mema.
 


Hakika umenena vyema mkuu, wanawake tupowaoa tuishi nao kwa tekiniki mkuu.
 
Asante, Kulala njaa kwangu ni ile hali yakufika nimechoka nashindwa kupika,, maana nafika muda mwingine saa 4 usiku,,unakuta kila kitu kipo ila uvivu wa kupika huwa naamua kula matunda tu nalala.

Kwa hiyo ukila matunda ukalala kwako sio mlo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…