Wanajamvi eeeeh!naomben ushauri japo kidogo,kuna msichana mmoja hapa chuo ametokea kunipenda ile nzuri,yani huyu hatanii hata kidogo kwenye suala la mapenzi na everyday anataka tuje kuoana lakin huyu mtoto anakashifa nyingi sana za mapenzi,sasa nashindwa kutambua km anataka love la hapa hapa 2 chuo then ajikate zake au anamalengo kweli ya kuja kuoana?sasa wadau nifanyeje niweze kumjua km anania na mm au ni mzugaji 2?athanten