Nataka kuoa!!!!!!!!!

Nataka kuoa!!!!!!!!!

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Wanajamvi eeeeh!naomben ushauri japo kidogo,kuna msichana mmoja hapa chuo ametokea kunipenda ile nzuri,yani huyu hatanii hata kidogo kwenye suala la mapenzi na everyday anataka tuje kuoana lakin huyu mtoto anakashifa nyingi sana za mapenzi,sasa nashindwa kutambua km anataka love la hapa hapa 2 chuo then ajikate zake au anamalengo kweli ya kuja kuoana?sasa wadau nifanyeje niweze kumjua km anania na mm au ni mzugaji 2?athanten
 
umemaliza mambo yako yoooote na unataka kuongeza stress? fikiria mara 200 kama kweli unataka kuuteka uhuru wako
 
Back
Top Bottom