Wacha wadau wachangie kwanza mwisho wa yote mnipe budget yenu, nitafadhili zawadi.
Wewe ndo kiungo mchezeshaji wangu.
Na kabla ya gemu lazima tuwake kisawasawa....
Pasiasi ulikuwa umefata nini?
Afu ktk hao wachezaji wako halali kutomtambua kwako player kama figganigga Mzee wa Rula, Nicas Mtei , Filipo , Mungi , na Erickb52 kutakufanya FIFA wayafungie mashindano.
Yani usihofu mwenzangu,lazima tuwafunge hao timu pinzani.