Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kwenye zile amri, Kuna hata moja Ina neno "kuokoka" ???
Unataka kusemaje?
Sema tu tujadili na kujifunza pamoja !
Kwa hiyo unataka kusema nje ya Amri kumi hakuna cha kujifunza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye zile amri, Kuna hata moja Ina neno "kuokoka" ???
Kuokoka ina maanisha kuachana na dem mpenda hélaKuokoka ndo kufanya nini?