Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

Tutafuta pesa ili ukifika miaka 35 vijana wa hovyo tuje kukupelekea moto huku tunakuita mshangazi
 
Usiolewe; hutakuwa na furaha kuolewa ukijua ndoa haitadumu, na Kama unaamua kuolewa, mweleze Jamaa haya ili isiwe udanganyifu na yeye ajue anaoa Dume jike!
Haya maswali kuwaulize wazazi wako wakusaidie. Humu hutapata msaada wowote mwanangu.
 
Hapo Bora ujioe mwenyew tu
 

1. Bado unaishi kwenu
2. Ndoa unaitaka na uhuru pia unautaka
3. Unataka kubaki dar kwa sababu una mipango yako na rafiki zako wapo dar pia
4. Hutaki kupangiwa maisha na mtu , wakati huo huo unataka kumpangia mtu maisha
5. Unamtupia mtu lawama huku wewe ukiwa hauoni kosa lako.

UShauri wangu

1. Jamaa yako akimbie hilo bomu
2. Bado haujielewi nini unataka hivyo ngoja ngoja kwanza ukomae akili
 
we jamaa si mwanaume?

juzi hapa si ulisema una mwanamke yupo mwanza?
 
P...... kabisa unaendeshwa na marafiki si wakuoe au uolewe na biashara zako wewe sio mke utamsubua bado una utoto tena mbinafsi unafaaa kutelekezwa
 
Ndoa haina uhuru huo unao utaka wewe
 
Cc Idd Makengo
 
Umeshaonyesha msimamo wako sasa unataka ushauri gani tena,kwa kuchagua kwako kubaki dar maana yake umeikacha ndoa,limeisha hilo ingekuwa ni mimi ningekupiga tu chini maana utanipotezea mda tu,unavyosema utakosa uhuru kwani umesikia Ndoa ni Segerea au ukonga
 
Wanawake wengi wenye fedha na wasomi akili zao kama hizi ulizokuwa nazo ww. Kama umeamua hivyo mwambie ukweli haupo tayari,husijekuwa zigo la miba kwa mumeo

Ila dunia ni yako chaguo ni lako.Baadae utaenda kwa wachungaji na waganga kutafuta kile ulicho kikataa sasa,huku ukiwapelekea hela.

Then mnapanic mnakuja kuzaa na yeyote atakaye kuja mbele yako au mume wa mtu kwa presha za kuchelewa kuzaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…