Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

Kubali yaishe mjomba alafu usiwe unajifanyia maamuzi ya pekeyako kama unampenda kweli haijalishi mahala alipo nataka ulijue hilo mapema kwamba ukishaingia kwenye ndoa utakuwa chini ya mume punguza marafiki ndo wanaokushauri ujinga.
 
Wewe siyo wife material. Unafaa kuwa single mum. Underline my words
 
In fact Huyo dokta hapa kaingia cha kike.
Ndio shida ya madokta haswaa vijana Yani wanaakili ya kuandikia wagonjwa vidonge na Kuskiza maradhi Yao ila kwenye masuala ya kijamii zero, Bora hata bushlawyer.. au mmang'ati.

Wengi Wana stress za kijamii mpaka zimeathiri taaluma na kazi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…