Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
Maisha ni magumu sana kwa "Majobless Pro Max." Ukiwa mtaani, inabidi upambane kweli kweli ili uweze kupata chochote kitu cha kula.
Wakati mwingine, unaweza kula mara moja kwa siku au kama bahati ni yako, mara mbili na ukiwa "freemasoni" kama mimi mara tatu.
Hii itufundishe umuhimu wa kutokuleta watoto wengi duniani ambao watapitia magumu kama haya tunayopitia sisi.
Wazee wetu walifanya makosa na sasa ni wakati wetu sisi kusahihisha.
Unapozalisha watoto wanne au watatno, unapaswa kuhakikisha unawapatia maisha mazuri. Unapaswa kuwafikiria vizuri kabla ya kuwaleta duniani.
Hebu kweni na huruma basi, ukiwa zako na watoto wawili ambao utaweza kuwategemeza inakuwa poa sana.
Ngoja niendelea kumwagilia moyo, elfu kumi haiwezi kujenga nyumba , kuanzisha biashara wala kumpeleka mtoto EMS.