Nataka kuongea na nyinyi jobless /Ma'jobless Pro

Namshakende

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
671
Reaction score
1,644
Maisha ni magumu sana kwa "Majobless Pro Max." Ukiwa mtaani, inabidi upambane kweli kweli ili uweze kupata chochote kitu cha kula.

Wakati mwingine, unaweza kula mara moja kwa siku au kama bahati ni yako, mara mbili na ukiwa "freemasoni" kama mimi mara tatu.

Hii itufundishe umuhimu wa kutokuleta watoto wengi duniani ambao watapitia magumu kama haya tunayopitia sisi.

Wazee wetu walifanya makosa na sasa ni wakati wetu sisi kusahihisha.

Unapozalisha watoto wanne au watatno, unapaswa kuhakikisha unawapatia maisha mazuri. Unapaswa kuwafikiria vizuri kabla ya kuwaleta duniani.

Hebu kweni na huruma basi, ukiwa zako na watoto wawili ambao utaweza kuwategemeza inakuwa poa sana.


Ngoja niendelea kumwagilia moyo, elfu kumi haiwezi kujenga nyumba , kuanzisha biashara wala kumpeleka mtoto EMS.
 
Mtu mwenye ufahamu mzuri kabisa lazima atambue hakuna umuhimu wa kuleta mtoto kwnye maisha haya tuliyojikuta tupo
Ni Jambo la kushangaza sana ujikute upo gerezani alafu ufanye juu chini umlete na mpendwa wako ndani ya gereza hilo aje kuishi humo wakati unajua kabisa atakutana na mateso alafu mwisho afe kama wewe.
Nina watoto ila ningefikiria vizuri kipindi hicho ningekwepa kuleta wanadamu duniani ingali nikijua hatari zilizopo kwenye haya maisha
 
Mwanaume kudhihaki wanaume wasio na ajira inakutambulisha wazi upande wako.... Itoshe kusema dawa za kufunga kizazi kwa jinsia ya me zipo. Na washonaji pia wapo.
 
Bora hata wewe ulisoma Ila haujapata Kazi

Kuna Ambao ilibidi tufanye Kazi ngumu za mjengo jua Kali ndo tupate Ada , tusome hadi kumaliza Chuo

So shit happens everywhere don't cry by lack dube
 
Stupid man
 
Ok vip kwa ambao ndo first born kwao na ni jobless una lipi la kuwaambia?
 
Mimi Kama raisi wa chama Cha ma jobless pro max, niko hapa kujibu hoja zako.

ila naomba muongozo ili nijue jinsia yako, maana naona uchungu na maumivu kwenye Uzi wako.

je wewe ni ke au me, Kama ke ume zakisbqa na jobless sawa.
ila ume muaminisha hao watoto ni wake?.

Kama ni me, usi ingilie mahusiano ya dada ako.

Mad Max, makutupora, min -me, Bolotoba, Selikavu,

Kidumu chama Cha ma jobless pro max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…