BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 917
- 2,217
N duka ambalo kwakweli nimeliinua tangu lilipokuwa chini mpk sasa hali inaridhsha
Sasa nnataka kuongeza bidhaa ambazo kwakweli sijawahi kuuza....bidhaa hizo ni Maziwa ya Tanga fresh na mtindi.....pia na mikate
Shida ninapata kwenye upatikanaji wa hizo bidhaa....nasikia wanapitisha kwa magari
Je ni utaratibu gani unatakiwa kufanyika ili mimi kuzipata bidhaa hizo??
Na je zinahitaji utunzaji wa aina gan ili zikae zikiwa in good condition katika uuuzaji??
Mawazo yanahitajika