Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwezombiee Nizame mapenzini nipotelee huko...

Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwezombiee Nizame mapenzini nipotelee huko...

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
It may sound strange but this has been my major wish for a while....

Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko...

Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning...

Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa, mapenzi ambayo unaongea na mtu wako for two or three hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui mlikuwa mnaongea nini....

Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe, nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito, nione kama dunia imekwisha shughuli zangu nishindwe kufanya...

Kichwa kigome kufikiri kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata hilo..

Haya mapenzi ya kupenda robo robo with a lot of reasoning sio nayotaka...

Natamani kupenda with all my heart, soul, mind, body and my everything, nataka kupenda kamili kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila kitu....

Awe ndio dunia na maisha yangu....

Trust me I want to love like nothing else, cm in ma Pm.....
 
It may sound strange but this has been my
major wish for a while....

Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe
zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko...

Kila
nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga
no reasoning...

Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu
wako for a day unajisikia mgonjwa,

mapenzi
ambayo unaongea na mtu wako for two or three
hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui
mlikuwa mnaongea nini....

Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au
nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe,
nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito,
nione kama dunia imekwisha shughuli zangu
nishindwe kufanya...

kichwa kigome kufukiri
Kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata
hilo..

Haya mapenzi ya kupenda robo robo with a
lot of reasoning sio nayotaka...

Natamani kupenda with all my heart, soul, mind,
body and my everything, nataka kupenda kamili
kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila
kitu....

Awe ndio dunia na maisha yangu....

Trust me I want to love like nothing else,
cm in ma Pm.....
...........vodacom,power to you.😆😆😆😆😆😆
 
kaka huo moyo umeshakuwa sugu, umekutana na kusimuliwa misukosuko lukuki ya mapenzi. wengi wanaopenda hadi kupitiliza their are new comers kwenye huu uwanja. wengi ni wale wa form 4 hadi la saba.
 
It may sound strange but this has been my
major wish for a while....

Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe
zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko...

Kila
nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga
no reasoning...

Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu
wako for a day unajisikia mgonjwa,

mapenzi
ambayo unaongea na mtu wako for two or three
hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui
mlikuwa mnaongea nini....

Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au
nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe,
nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito,
nione kama dunia imekwisha shughuli zangu
nishindwe kufanya...

kichwa kigome kufukiri
Kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata
hilo..

Haya mapenzi ya kupenda robo robo with a
lot of reasoning sio nayotaka...

Natamani kupenda with all my heart, soul, mind,
body and my everything, nataka kupenda kamili
kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila
kitu....

Awe ndio dunia na maisha yangu....

Trust me I want to love like nothing else,
cm in ma Pm.....
[emoji848]
IMG_20181026_101438_841.JPG
 
Watu wanatafuta njia wanawasaidiaje walioumizwa,kuna kiumbe huku anatafuta sababu za kuja kutulilia baadae huku dah!!!
 
Back
Top Bottom