Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwezombiee Nizame mapenzini nipotelee huko...

Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwezombiee Nizame mapenzini nipotelee huko...

Du! Kumbe ni wimbo wa kutuvuta tuje PM. Aisee we ni kiboko. Ila staili yako nimeipenda. Nakutakia mafanikio huko pm
 
It may sound strange but this has been my major wish for a while....

Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko...

Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning...

Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa, mapenzi ambayo unaongea na mtu wako for two or three hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui mlikuwa mnaongea nini....

Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe, nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito, nione kama dunia imekwisha shughuli zangu nishindwe kufanya...

Kichwa kigome kufikiri kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata hilo..

Haya mapenzi ya kupenda robo robo with a lot of reasoning sio nayotaka...

Natamani kupenda with all my heart, soul, mind, body and my everything, nataka kupenda kamili kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila kitu....

Awe ndio dunia na maisha yangu....

Trust me I want to love like nothing else, cm in ma Pm.....
Aisee
Mwanzo nilijua unatunga shairi,kumbe unatamani

Kila La kheri.
 
Back
Top Bottom