FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Yaaani just imagine... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni jambo geni eeh?? Halafu inashangaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaani just imagine... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni jambo geni eeh?? Halafu inashangaza.
Ajabu kweli atafanya kazi SAA ngapi.Yaaani just imagine... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaamn uuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ajabu kweli atafanya kazi SAA ngapi.
Kumbe ndiyo maana hajazungumzia suala la kumpa hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah ah ah ah hujanishinda mim aitheeeNktlogistics uwongo mimi mkongwe kizee kabisa ila nazamaga mazima mleta mada kama kaniandikia mie vile
Yatakujaingekua kila kitu kinakuja kama ulivo panga maisha yangekua rahisi sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio nini kuniamsha usingizini na maVacation yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Et 2 hrs be like 5 mins real?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah ah ah ah ah ah ah nimecheka sanaDu! Kumbe ni wimbo wa kutuvuta tuje PM. Aisee we ni kiboko. Ila staili yako nimeipenda. Nakutakia mafanikio huko pm
Mke wa ndoa kabisa MheshimiwaSasa mkuu unatafuta mchumba/mke/mchepuko/hawara au wa kukulisha limbwata? Fafanua vzr kwanza
NaaaaamAisee hichi nacho ni kiwanda cha kuzalisha upendo
Nyie watu nyie aya bhanaAjabu kweli atafanya kazi SAA ngapi.
Kumbe ndiyo maana hajazungumzia suala la kumpa hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeIt may sound strange but this has been my major wish for a while....
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko...
Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning...
Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa, mapenzi ambayo unaongea na mtu wako for two or three hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui mlikuwa mnaongea nini....
Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe, nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito, nione kama dunia imekwisha shughuli zangu nishindwe kufanya...
Kichwa kigome kufikiri kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata hilo..
Haya mapenzi ya kupenda robo robo with a lot of reasoning sio nayotaka...
Natamani kupenda with all my heart, soul, mind, body and my everything, nataka kupenda kamili kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila kitu....
Awe ndio dunia na maisha yangu....
Trust me I want to love like nothing else, cm in ma Pm.....
Mahaba kama yoteAisee
Mwanzo nilijua unatunga shairi,kumbe unatamani
Kila La kheri.
Mapenz mabayaUnataka kuwa zombie hiyo nimeipenda