Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
- Thread starter
-
- #41
HapanaUnataka kufa...
I wish nipate wanguAmbiele Kiviele yaani hivyo ndivyo mume wangu anavyonipenda sometimes inaboa hahahaha
Hakika mahaba mabaya mapaka watu wanataka kujigeuza ndondochaMapenz mabaya
Hongera,Ambiele Kiviele yaani hivyo ndivyo mume wangu anavyonipenda sometimes inaboa hahahaha
Cute b Nina shida na wewe. Tried to PM you but it wouldn't workAjabu kweli atafanya kazi SAA ngapi.
Kumbe ndiyo maana hajazungumzia suala la kumpa hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OwkyCute b Nina shida na wewe. Tried to PM you but it wouldn't work
Mkuu hili lingekuwa shairi au riwaya ingekuwa powa sanaIt may sound strange but this has been my major wish for a while....
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko...
Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning...
Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa, mapenzi ambayo unaongea na mtu wako for two or three hrs and you feel like its just 5 minutes na haujui mlikuwa mnaongea nini....
Yaani mapenzi ambapo nikiachwa au nililazimika kuacha basi nichanganyikiwe, nishindwe kula, nikose usingizi, nipungue uzito, nione kama dunia imekwisha shughuli zangu nishindwe kufanya...
Kichwa kigome kufikiri kama limbwata ni kweli lipo basi nilishwe hata hilo..
Haya mapenzi ya kupenda robo robo with a lot of reasoning sio nayotaka...
Natamani kupenda with all my heart, soul, mind, body and my everything, nataka kupenda kamili kamili, kwa kila kitu, mpenzi wangu awe kila kitu....
Awe ndio dunia na maisha yangu....
Trust me I want to love like nothing else, cm in ma Pm.....
Daaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]Ajabu kweli atafanya kazi SAA ngapi.
Kumbe ndiyo maana hajazungumzia suala la kumpa hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ngoja tuoneYatakuja
DuuuuhOwky
My brother.. Nini shida??Duuuuh
My sister, hakuna shida uko poa lakiniMy brother.. Nini shida??
Nipo poa my brother. Nakumiss sana sema siku hizi upo bize sana.My sister, hakuna shida uko poa lakini
Nakumiss pia my sister, si unajua tena kazi za watu hizi,Nipo poa my brother. Nakumiss sana sema siku hizi upo bize sana.
Hope upo vyema pia .
Ndiyo my brother naelewa.Nakumiss pia my sister, si unajua tena kazi za watu hizi,
Niko vyema kabisa.
Ooouh...It may sound strange but this has been my major wish for a while....