Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
...hata wasipowapa majibu, hali ya mama na kichanga zikiwa bado imara miaka miwili na zaidi (bila ukurutu na majipu ya hapa na pale) aaahhh, 'umevuka'!!!
mkakati simpo (usio wa kidaktari) wa kupata ujasiri wa kupima ngoma ni kwa kuanza na kupima mkojo. ukiona white blood cells zipo nyingi ujue uwezekano wa ngoma upo juu lol halafu mkojo unaweza pima hata home tu.
YoYo pia siku hizi ukimtia mwanamke mimba ni lazima wampime kirusi so unaweza kupata status yako kupitia kwa mwenzako, japo kuwa njia hii siyo 100% lakini unaweza kupata ma hope kidogo.
...hata wasipowapa majibu, hali ya mama na kichanga zikiwa bado imara miaka miwili na zaidi (bila ukurutu na majipu ya hapa na pale) aaahhh, 'umevuka'!!!
mkuu kuuza timu basi unafikiri huwa napanga....najikuta tu nimeuza within 5 months nimeshauza timu mara 3 in different timu.....pamoja na kwamba sio vimeo saaana hizo timu
mkuu hali hii inawakuta wengi sana.......hakuna alie tayario kwenda kupima kwa hiyari unless kuwe na shinikizo.....Yo Yo inaonekana hali yako ni more serious kuliko wengi wanavyodhani jumu JF. Inaonekana kabisa hujawahi kupima maisha mwako, but whater the case ushauri wangu ni huu;
1. Jipange sawasawa. Adhimia kuacha kuuza mechi na kubadili tabia kabisa.
2. Walete ndugu na jamaa karibu. Patana na uliokosana nao warudie uliowatosa na watembelee au rudhisha mawasiliano na ndugu wa karibu ambao hujawasiliana nao au kuwaona kwa muda mreru.
3. Ikiwezekana (ni vizuri zaidi) go back to your roots. Tembelea makaburi ya ndugu zako wa karibu waliokwisha fariki hasa ya parents and grandparents kama walishakwisha udanchi.
4. Jielimishe sana kuhusu ukimwi na kusanya litereature za nini mwenye ukimwi anatakiwa afanye anapopata matatizo kadha wa kadha ya afya.
5. Tafuta ushauri nasaha na umueleze mshauri uwoga wako wa kupima. Baada reason out why should not fear death even it came tommorrow. Jaribu kuona kuwa hofu ya kufa sio ya lazima sana (kufa sio lazima kutishe kiasi hicho).
6. Jitoe mhanga na uende kupima bila kujali matoke yatakayo jiri.
7. Ukiambiwa uko positive, tulia kwanza, usipanick. Subiri state of denial iishe halafu jaribu kuwashirikisha ndugu wa karibu sana kwanza na baadae jitangaze. Siri ndio inayouwa wenye ukimwi wengi mapema.
Kazi kwako
...hata wasipowapa majibu, hali ya mama na kichanga zikiwa bado imara miaka miwili na zaidi (bila ukurutu na majipu ya hapa na pale) aaahhh, 'umevuka'!!!
mkakati simpo (usio wa kidaktari) wa kupata ujasiri wa kupima ngoma ni kwa kuanza na kupima mkojo. Ukiona white blood cells zipo nyingi ujue uwezekano wa ngoma upo juu lol halafu mkojo unaweza pima hata home tu.
Yo Yo nenda kapime unaweza ukajikuta wewe ni kama wale jamaa wa Uganda... Hawapati Ngwengwe... hata wakishiriki na waathirika... Baada ya hapo unaendeleza dry au kwa lugha nyingine M-BICHI-M-BICHI LOL...
haifai hii; mmoja aweza kuwa na maambukizi mwingine akawa hana, na intokea mara nyingi, shurti kila mtu apime binafsi.Naona wengi tungefurahi kama ingetokea mtu au kampuni ika develop kamtambo ambako unakanunua na kujipima mwenyewe ukiwa chumbani kwako kimyaaaaa, majibu siri yako!
YoYo pia siku hizi ukimtia mwanamke mimba ni lazima wampime kirusi so unaweza kupata status yako kupitia kwa mwenzako, japo kuwa njia hii siyo 100% lakini unaweza kupata ma hope kidogo.
mkeo aweza kuwa na ngoma wewe usiwe nayo, na mtoto vile vile wazazi waweza kuwa na ngoma yeye akawa salama - hivyo bora kila mtu apime....hata wasipowapa majibu, hali ya mama na kichanga zikiwa bado imara miaka miwili na zaidi (bila ukurutu na majipu ya hapa na pale) aaahhh, 'umevuka'!!!
mama mjamzito kupima ngoma bongo ni hiari mpaka sasa.KKN na Mbu, mnapotosha!
KKN,
Hakuna sheria inayolazimisha mama mjamzito kupima ngoma. Hivyo basi, kama madaktari bongo huwa wanawakwida mama wazajawazito kupima ngoma, basi wanakiuka sheria za nchi na za haki za binadamu.
rapid tests ziko 'very sensitive' hivyo waweza kupata false positive results, hazishauriwi kabisa kutumia on your own, ni kwa ajili ya screening. hata kwenye vituo vya ushauri nasaha wakikuta uko positive kwenye rapid test moja lazima wahakikishe kwa nyingine, la sivyo waweza kupata mshtuko wa maisha wakati hauna maambukizi. kwa hiyo ukitumia njia hii bado uko pale pale inabidi kwenda ku-confirm.kuna kits za rapid test.Nunua ujipime mwenye ila ukikosea kusoma majibu, utajifia bure ilhali kumbe huna ngoma wala nini.