Yo Yo inaonekana hali yako ni more serious kuliko wengi wanavyodhani jumu JF. Inaonekana kabisa hujawahi kupima maisha mwako, but whater the case ushauri wangu ni huu;
1. Jipange sawasawa. Adhimia kuacha kuuza mechi na kubadili tabia kabisa.
2. Walete ndugu na jamaa karibu. Patana na uliokosana nao warudie uliowatosa na watembelee au rudhisha mawasiliano na ndugu wa karibu ambao hujawasiliana nao au kuwaona kwa muda mreru.
3. Ikiwezekana (ni vizuri zaidi) go back to your roots. Tembelea makaburi ya ndugu zako wa karibu waliokwisha fariki hasa ya parents and grandparents kama walishakwisha udanchi.
4. Jielimishe sana kuhusu ukimwi na kusanya litereature za nini mwenye ukimwi anatakiwa afanye anapopata matatizo kadha wa kadha ya afya.
5. Tafuta ushauri nasaha na umueleze mshauri uwoga wako wa kupima. Baada reason out why should not fear death even it came tommorrow. Jaribu kuona kuwa hofu ya kufa sio ya lazima sana (kufa sio lazima kutishe kiasi hicho).
6. Jitoe mhanga na uende kupima bila kujali matoke yatakayo jiri.
7. Ukiambiwa uko positive, tulia kwanza, usipanick. Subiri state of denial iishe halafu jaribu kuwashirikisha ndugu wa karibu sana kwanza na baadae jitangaze. Siri ndio inayouwa wenye ukimwi wengi mapema.
Kazi kwako