New Client
Member
- Jun 4, 2013
- 9
- 1
NEW CLIENT...... hahahahahahaaaaa!!! nimependa jina lako!!! ila angalia kaka ---- lako lisije kuzidi kipimo! wadau wamo kibao humu subiria watakuja kutatua tatizo lako.....Habarini ndugu zangu wa humu! natumaini wote humu ni wazima wa afya. wataalamu mimi nataka nirefushe mdudu wangu ikiwezekana ufikie INCH 6 na unene unaotosha kwa matumizi yale. mimi nnao wa wastani ila kimsingi naona kma ni mfupi! NIKO SERIOUS, kwa mtaalamu yeyote ambae nae yuko SERIOUS kama mimi mwenye tiba ya tatizo langu naomba anijulishe! nko mwanza. PLEASE PM ME!
Ukilala funga jiwela kilo mbili kwenye kichwa yake afu uning'inize kwenye kitanda. Miezi 6 tu unalingana na miguu
Nina miaka 24 mkuu wanguuna miaka mingapi kwani?
Utani kwenye U-serious haufai mkuu!Mi nadawa inarefusha inakuwa kama ya Punda
Akishindwa hiyo mwambie atumie Pilipili, chumvi, ndimu (ndio mkombozi wetu akina baba)Ukilala funga jiwela kilo mbili kwenye kichwa yake afu uning'inize kwenye kitanda. Miezi 6 tu unalingana na miguu
Ni ujinga kukosoa kazi ya mungu.
Nina miaka 24 mkuu wangu
Wadau mimi niko serious kama hujui kitu ni bora ukae kimya tu coz wengine mnaboa? watu kama ninyi hamfai kuwa humu jukwaani! Alaaaa!!!
kama unajua dawa sema pesa sio kitu hata kama dawa iko mbali na mimi itasafirishwa kwa gharama yeyote ili mradi niwe okeykwani amekuambia humfikishi?nenda kwa wamasai wakupe dawa
24 mkuuuna miaka mingapi kwani?
kama unajua dawa sema pesa sio kitu hata kama dawa iko mbali na mimi itasafirishwa kwa gharama yeyote ili mradi niwe okey