Nataka kurefusha uume wangu

Nataka kurefusha uume wangu

Jiamini kijana...

Unataka kuurefusha ili iweje????

Ukikimbiwa na wadada utarudi humu kuomba msaada wa kuifupisha???
 
mi mwenyewe ninacho kidogo lakini navokitumia balaaaa....ukiwa knye game we dili na G-sport, unaijua? pili tumia sana asali ktk mambo yetu yale.......limdudu kubwa la nini unataka michubuko mwishowe upate li-ukimwi
 
Try to put yourself in his shoes ndo utaelewa anamaanisha nn....wanawake mnachangia pia na dharau zenu
 
Habarini ndugu zangu wa humu! natumaini wote humu ni wazima wa afya. wataalamu mimi nataka nirefushe mdudu wangu ikiwezekana ufikie INCH 6 na unene unaotosha kwa matumizi yale. mimi nnao wa wastani ila kimsingi naona kma ni mfupi! NIKO SERIOUS, kwa mtaalamu yeyote ambae nae yuko SERIOUS kama mimi mwenye tiba ya tatizo langu naomba anijulishe! nko mwanza. PLEASE PM ME!

Kwa nini usirefushe ubongo au akili zako ndugu? Hata waganga wanawapata sana watu kama nyinyi.....hakuna hata mmoja mwenye dawa ya kuongeza akili!

mganga!.jpg


DAWA.JPG


mganga.jpg
 
Tafuta wa size yako kuna wanaopenda size hyo hyo yako unaweza ukaurefusha then ukawa legelege<doro>
 
Ridhika na ulichonacho mkuu na ukitumie vizuri.
Siku hizi jf hawashauri povu,safi sana hivi ndo GT tunatakiwa tuwe kwa mustakabali wa taifa letu.
 
Nipm nikupe zoezi la kila asbhi..i guarantee you two weeks aliyekuzoea Atashangaa..
 
chukua maji uvugu kanda kanda iyo dudu kwa dakika2 futa unyevu huo then tafuta futa la alizeti paka viganjani ,shika pipe yako na mkono wa shoto huku mwanzon inakochomozea anza kuvuta na mkono wa kulia kuja mbele kwenye tundu kojoleo,fany hivyo kwa dakika kumi,hakikisha pipe yako imelala ikisimama wakat unaendelea na hii kaz stopisha ilale then endelea then baada ya wiki moja njoo unipe majibu hapa,kama imekuw ya punda au ya donkey
 
, kumbe team vibamia wapo , huwa nawasikiaga wanateseka sana kwa kuachwa , pole sana
 
Back
Top Bottom