Nataka kurekebisha taarifa zangu TCU

Nataka kurekebisha taarifa zangu TCU

Kwa mliofanikisha vipi mmefanikiwa na mambo mazuri tu,? Mdogo wangu anataka kuedit sababu kozi zote alizochagua zina watu takribani 2000 per course.

Hii watu 2000 per course unajuaje?
 
We shukuru mungu wako omba upate penye heri nawe la unaleta ukaid wa kiswahl twende Kaz
 
Back
Top Bottom