Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Mkuu umenifaidisha Mimi pia,ushauri mzuri Shukrani sanaSikushauri kununua maana utapata gharama nyingi. Cha kwanza, lazima upata auditor afanye audit financial status za kampuni hiyo.
Utahitaji mtaalamu wa kodi atakaye akikisha kampuni haidaiwi TRA, Bank, Brella na kadhalika.
Utahitaji mwanasheria kupitia Memorundum, article of associations, mikataba kama inayo na kuihakiki.
Utahitaji kubadili majina ya wamiliki na signatories kama wa account za benki, brella, TRA, lesini ya biashara na sehemu zingine.
Kiufupi, utatumia hela nyingi na kupoteza muda mrefu kuliko ukianza ya kwako.
Na assume lengo lako la kununua kampuni ni kuonyesha kuwa umeanza muda mrefu na una experience, which is good. Pia faida na hasara zake.
Kama fursa unayoona ni kuhusu mkopo benki, wanaweza wasikupe. Lazima waone kuwa mmiliki na management mpya itaweza kuindesha kampuni na kurudisha mkopo wao.
Sikushauri kununua maana utapata gharama nyingi. Cha kwanza, lazima upata auditor afanye audit financial status za kampuni hiyo.