Nataka kurithi kampuni ya teknolojia

Nataka kurithi kampuni ya teknolojia

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Habari wadau,
Naomba ushauri wenu kwenye suala la kununua biashara/kampuni ambayo imehsasajiliwa. Niemkuwa mtaalamu wa System Development kwa muda mrefu, na nataka kurasmisha utendaji wangu, ila naona kitendo cha kusajili kampuni upya kitanirudisha nyuma.

Je, napaswa kuzingatia nini? Na vigezo/athari ni vipi/zipi hapa TZ? Asanteni kwa ushauri wenu...
 
Sikushauri kununua maana utapata gharama nyingi. Cha kwanza, lazima upata auditor afanye audit financial status za kampuni hiyo.

Utahitaji mtaalamu wa kodi atakaye akikisha kampuni haidaiwi TRA, Bank, Brella na kadhalika.

Utahitaji mwanasheria kupitia Memorundum, article of associations, mikataba kama inayo na kuihakiki.

Utahitaji kubadili majina ya wamiliki na signatories kama wa account za benki, brella, TRA, lesini ya biashara na sehemu zingine.

Kiufupi, utatumia hela nyingi na kupoteza muda mrefu kuliko ukianza ya kwako.

Na assume lengo lako la kununua kampuni ni kuonyesha kuwa umeanza muda mrefu na una experience, which is good. Pia faida na hasara zake.

Kama fursa unayoona ni kuhusu mkopo benki, wanaweza wasikupe. Lazima waone kuwa mmiliki na management mpya itaweza kuindesha kampuni na kurudisha mkopo wao.
 
Mkuu umenifaidisha Mimi pia,ushauri mzuri Shukrani sana
 
Umejibu kwa busara sana. Asante

Back
Top Bottom