Nataka Kurudi Tanzania-Ushauri

Nataka Kurudi Tanzania-Ushauri

Nina masters yangu ya Logistics,nimeifanyia Canada,na First degree yangu ni ya Accounts nimeifanyia Australia,working Experience 3 Yrs now,nafikilia kurudi nyumbani nimechoka kukaa ukimbizini kwa mda mrefu na nimemiss jamaa zangu kwa mda mrefu.

Kabla sijarudi naomba mnipe hali ya upepo huko kunalipa au hakuna kitu nitulie zangu huku,na kama ni ajira niombe wapi ambapo wanalipa fresh zaidi.
Usije utabakwa mwenzio alikabwa.
 
Hii thread ni pacha na thread moja iko mashada.com
 
Back
Top Bottom