Nataka kurudia 4m4.

Kirikou kweli umekuja kufurahisha jf, mara unatafuta bibie; mara kuna mke wa mjeda unataka kumgegeda; na saivi unarudi shule. Umetisha kama njaa, nenda huko ila u stick kwenye kitabu zaidi.
 
Baba V unaua, kijana ana-hitaji u-shauri, ambao utam-fanya a-songe mbele kwenye elimu ya tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…