Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
- Thread starter
- #21
Kweli we ni krikou wa kwanza sa urudie ili iweje kapige certificate mkuu then degree then diploma huyo una degree
Ahsante mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli we ni krikou wa kwanza sa urudie ili iweje kapige certificate mkuu then degree then diploma huyo una degree
daa mimi ckushaur urudie but we nenda chuo certificate mwaka 1 dip 2 then unapiga shahada mbona necta cku hz hawatabiriki!
Usipojirekebisha uandishi wako hasa kama ulivyoandika heading utarudia hadi ukome na matokeo yataendelea kubaki mabaya...
Kirikou kweli umekuja kufurahisha jf, mara unatafuta bibie; mara kuna mke wa mjeda unataka kumgegeda; na saivi unarudi shule. Umetisha kama njaa, nenda huko ila u stick kwenye kitabu zaidi.
kwann urudie..?
Baba V unaua, kijana ana-hitaji u-shauri, ambao utam-fanya a-songe mbele kwenye elimu ya tz.