ndagalukwetu
Member
- Nov 30, 2018
- 14
- 9
kuna jamaa yangu alishawahi kutoka nanganga masasi hadi Dar kwa sanlg ila yake ni 150cc.kazi kwako!Wakuu habari,nauliza ili nipewe mwanga hapa,naitaji kusafiri kutoka mwanza kwenda morogoro kwa pikipiki sanlg 125 cc,je wataalamu wanisaidie hapa nifanyeje ili nifike vzr na hii pikipiki? Ni mpya ina miezi miwili,
Naombeni mchanganuo nifanye lipi na lipi ili niweze kufika kwa usafiri huu
Mkuu nipe uzoefu wako kwa chombo hikiSawa we taka
Ushauri wangu wakati unaanza safari waambie kule unakoenda waanze kuchonga jenezaMkuu nipe uzoefu wako kwa chombo hiki
Hah bonge la ushaurUnatarajia ktk safari yako utatumia kiasi gani cha pesa kugharamia mafuta, service, kula, matibabu, Polisi, Uchovu hadi kufa??
Haya Mapikipiki ya Mchina kuna watu wanayaona ya maana sana, Sio??Nakushauri usiwe peke yako,tafuta binti mrembo uwe naye hapo nyuma na awe titi saa 6,hii itakusaidia kukubust sana kwenye kutia gia.
Utaweza tumia Masaa 6 tu toka Mwanza hadi Moro.
Jiamini!!
Jamaa kaomba ushauri wa namna ya kufika Moro kwa kutumia pikipiki yake.Haya Mapikipiki ya Mchina kuna watu wanayaona ya maana sana, Sio??
ingekuwa pikpik ya timing chain kama boxer TVS hlx au SINORAY ungefika mapema kuliko bus...kuna jamaa yangu katoka dar juzi saa mbili asubuhi kumekucha na SINORAY ya timing chain kafika NJOMBE saa tisa alasiri umba ni km 700 alitumia takriban masaa 7...timing chain haitetemeshi wala hauchoki unakuwa na mwendo wako wastani kama 100kph unafika mapema kabisaWakuu habari,nauliza ili nipewe mwanga hapa,naitaji kusafiri kutoka mwanza kwenda morogoro kwa pikipiki sanlg 125 cc,je wataalamu wanisaidie hapa nifanyeje ili nifike vzr na hii pikipiki? Ni mpya ina miezi miwili,
Naombeni mchanganuo nifanye lipi na lipi ili niweze kufika kwa usafiri huu
Okay, Tujifunze kuvumilia na kuthamini mawazo ya wengine Pia. Kumjulisha ubora wa chombo anachotaka kutumia, ni kumsaidia pia namna anavyoweza kuwa salama katika safari yake.Jamaa kaomba ushauri wa namna ya kufika Moro kwa kutumia pikipiki yake.
Hajaomba ushauri wa kujua pikipiki yake ni Mchina/feki au ni ya Japan/Germany wala Italy.
Tujifunze kujikita kwenye mada husika,la sivyo JF itakuwa kama badoo/Facebook.
nimejifunza kitu.ingekuwa pikpik ya timing chain kama boxer TVS hlx au SINORAY ungefika mapema kuliko bus...kuna jamaa yangu katoka dar juzi saa mbili asubuhi kumekucha na SINORAY ya timing chain kafika NJOMBE saa tisa alasiri umba ni km 700 alitumia takriban masaa 7...timing chain haitetemeshi wala hauchoki unakuwa na mwendo wako wastani kama 100kph unafika mapema kabisa
...ila hiyo sun lg utajuta utaomba kupakia njiani kwenye maroli maana full vibration hata manyoni hufiki utakuwa ushapigwa ganzi