Nataka kusafiri kutoka Mwanza kwenda Morogoro kwa pikipiki sanlg 125, naomba ushauri kitaalam

Nataka kusafiri kutoka Mwanza kwenda Morogoro kwa pikipiki sanlg 125, naomba ushauri kitaalam

nimejifunza kitu.
muda mrefu nimetamani kujua why baadhi za pikipiki zina vibrate sana na zingine zimetulia. asante mkuu
Hako kapikipiki hafiki nako mbali kanachemka hasa awe na pesa za kutosha kula njiani mbio asizidi kilomita 50 kwa saa .Mnyororo atembee nao mwingine mpya .Kila akienda kilomita 80 Akapumzishe walau masaa mawili akifika kilomita 160 alale aamuke nako kesho katulie kapigwe upepo na serivice
 
Hako kapikipiki hafiki nako mbali kanachemka hasa awe na pesa za kutosha kula njiani mbio asizidi kilomita 50 kwa saa .Mnyororo atembee nao mwingine mpya .Kila akienda kilomita 80 Akapumzishe walau masaa mawili akifika kilomita 160 alale aamuke nako kesho katulie kapigwe upepo na serivice
aisee!
kazi kweli kweli, bora apakie kwenye lori
 
mahitaji ya dharura;
1. oil
2. petrol
3. tairi la akiba
4. pump ya mkono
5. vifaa vya kuziba pancha
6. spana
7. maji ya kunywa
8. chakula kikavu
9. silaha/ kisu/ jambia/mawe
10. mavazi mazito na gloves
11. dawa za maumivu
12. uwe na m pesa kwa ajili ya vifurushi
13. line za simu mitandao yote, kuna maeneo mitandao flani haishiki.

zingatia hayo

Hiyo pikipiki itatakiwa iwe na buti kabisa. [emoji3]
 
Na endapo MTU atakosa cha kujibu basi anyamaze kani usipojibu MTU it a fungi a?????watu wanashinda kujibu wnabaki kuhangaika tu
Jamaa kaomba ushauri wa namna ya kufika Moro kwa kutumia pikipiki yake.
Hajaomba ushauri wa kujua pikipiki yake ni Mchina/feki au ni ya Japan/Germany wala Italy.
Tujifunze kujikita kwenye mada husika,la sivyo JF itakuwa kama badoo/Facebook.
 
ingekuwa pikpik ya timing chain kama boxer TVS hlx au SINORAY ungefika mapema kuliko bus...kuna jamaa yangu katoka dar juzi saa mbili asubuhi kumekucha na SINORAY ya timing chain kafika NJOMBE saa tisa alasiri umba ni km 700 alitumia takriban masaa 7...timing chain haitetemeshi wala hauchoki unakuwa na mwendo wako wastani kama 100kph unafika mapema kabisa
...ila hiyo sun lg utajuta utaomba kupakia njiani kwenye maroli maana full vibration hata manyoni hufiki utakuwa ushapigwa ganzi
Ushauri wa kweli kabisa
 
Unatarajia ktk safari yako utatumia kiasi gani cha pesa kugharamia mafuta, service, kula, matibabu, Polisi, Uchovu hadi kufa??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
mahitaji ya dharura;
1. oil
2. petrol
3. tairi la akiba
4. pump ya mkono
5. vifaa vya kuziba pancha
6. spana
7. maji ya kunywa
8. chakula kikavu
9. silaha/ kisu/ jambia/mawe
10. mavazi mazito na gloves
11. dawa za maumivu
12. uwe na m pesa kwa ajili ya vifurushi
13. mnyororo
14. line za simu mitandao yote, kuna maeneo mitandao flani haishiki.

zingatia hayo
Huo mzigo anaupakia wapi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna afisa mmoja wa serikari kutoka mkoa wa geita alijaribu hiyo kitu tena yeye alitoka mwanza to arusha kwa kutumia YAMAHA siku hizi kabaki story mapafu yalijaa upepo.
 
Nakushauri pakia hio bodaboda kwenye roli utajiletea majanga tu manake issue sio kufika issue ni uzoefu wa kuendesha mda mrefu tena highway kumbuka una pishana na heavy trucks barabarani pia uchovu utakupa tabu sana, nisha wahi endesha gari toka Arusha to Mwanza nikatubu njiani najiuliza kwa boda boda itakuaje ? Japo inawezekana lkn ujiandae kwa lolote
 
Wakuu habari,nauliza ili nipewe mwanga hapa,naitaji kusafiri kutoka mwanza kwenda morogoro kwa pikipiki sanlg 125 cc,je wataalamu wanisaidie hapa nifanyeje ili nifike vzr na hii pikipiki? Ni mpya ina miezi miwili,

Naombeni mchanganuo nifanye lipi na lipi ili niweze kufika kwa usafiri huu



Safiri usiku tu na upitie maporini/mbugani. Ukichoka lala chini ya mti au barabarani kabisa, wanyama wakali wakija watakunusa tu na kukulinda mpaka asubuhi.
 
mahitaji ya dharura;
1. oil
2. petrol
3. tairi la akiba
4. pump ya mkono
5. vifaa vya kuziba pancha
6. spana
7. maji ya kunywa
8. chakula kikavu
9. silaha/ kisu/ jambia/mawe
10. mavazi mazito na gloves
11. dawa za maumivu
12. uwe na m pesa kwa ajili ya vifurushi
13. mnyororo
14. line za simu mitandao yote, kuna maeneo mitandao flani haishiki.

zingatia hayo
Mkuu mawe tena
 
Back
Top Bottom