Nataka kusafiri kutoka Mwanza kwenda Morogoro kwa pikipiki sanlg 125, naomba ushauri kitaalam

Utafka bila shda yoyote ukitoka mwanza pumzika kahama baada ya kutoka kahama kapumzike manyoni singida baada ya hapo dodoma mpaka Moro chakuzingatia speed na kukaa katikt ya barabara kaa pembeni
 
Utafka bila shda yoyote ukitoka mwanza pumzika kahama baada ya kutoka kahama kapumzike manyoni singida baada ya hapo dodoma mpaka Moro chakuzingatia speed na kukaa katikt ya barabara kaa pembeni

Kahama tena mkuu!

Mwanza anakuja Shy, Tinde, Nzega.

Kahama iko pembeni sana.
 
Reactions: y-n
Badili tu oil petrol ya kutosha anza safari ila pikipiki ya mchina ina vibresheni sana ukitembea sana, kama kuna uwezekano pumb. acha nyumbani.
 
Kuna jamaa huwa anatoka Dar es salaam mpaka Kigoma kwa pikipiki!
Teoa siyo mala moja, ni mala nyingi tu.
Hivi ni nini kinakufanya ushindwe kuandika Kiswahili kinyoofu??? eti "mala" ! Haujionei aibu??
 
Point
 
hizo ambazo hazina timing chain zinatumia mechanism gani kufungua milango ya mafuta na exaust
 
hizo ambazo hazina timing chain zinatumia mechanism gani kufungua milango ya mafuta na exaust
kuna kitu wanaita push load..sifahamu sana ila ndo hivo kuna pushload na timing chain
kama hizi san lg ni pushlod ndo maana full vibration
 
NAOMBA KUJUA NDUGU ZANGU. HIVI PIKI PIKI MFANO BOXER, YAMAHA, TVS, HONDA ZINAWEZA PIGA RUTI NDEFU MFANO DAR-MOSHI, NA MASAA MANGAPI INAWEZA TUMIA!??!....

NOTE:
naomba majibu halisia tafadhali.......

ASANTENI....
 
Hata mbinguni zinaenda muhimu kuwepo na barabara,na kote ulikokutaja zinafika kwa masaa matatu.
 
We jamaa muoga kweli yaan pikipiki mpaka uombe ushaur
Kuna jamaa anaitwa sukago yeye kila weekend anasafair kwa baiskel ha Anita Kutoka swanga mpaka mikumi pale
 
Reactions: y-n
Hizi piki piki zisizo na rejeta huwa zinachemka sana. Sidhani kama utafika hata Shinyanga kabla engine haijayeyuka!
 
Utatumia siku mbili but iwe mpya au nzima umwage oil Mara tatu na usiivute Sana tembea mwendo wa kawaida( me nilitoka na fecon kutoka moro kwenda sumbawanga kwa two days)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…