Kahama akatafute nini tena?Utafka bila shda yoyote ukitoka mwanza pumzika kahama baada ya kutoka kahama kapumzike manyoni singida baada ya hapo dodoma mpaka Moro chakuzingatia speed na kukaa katikt ya barabara kaa pembeni
jaza mafuta meeeengi alafu anza safariWakuu habari,nauliza ili nipewe mwanga hapa,naitaji kusafiri kutoka mwanza kwenda morogoro kwa pikipiki sanlg 125 cc,je wataalamu wanisaidie hapa nifanyeje ili nifike vzr na hii pikipiki? Ni mpya ina miezi miwili,
Naombeni mchanganuo nifanye lipi na lipi ili niweze kufika kwa usafiri huu
Unaongea na mimi au unaongea na simu??[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji848][emoji848][emoji848]kweli mzee haumini nini hapo juu
Safimahitaji ya dharura;
1. oil
2. petrol
3. tairi la akiba
4. pump ya mkono
5. vifaa vya kuziba pancha
6. spana
7. maji ya kunywa
8. chakula kikavu
9. silaha/ kisu/ jambia/mawe/mkuki/upinde
10. mavazi mazito na gloves
11. dawa za maumivu
12. uwe na m pesa kwa ajili ya vifurushi
13. mnyororo
14. line za simu mitandao yote, kuna maeneo mitandao flani haishiki.
zingatia hayo kwani safari yako ni ndefu na hatarishi lolote laweza kutokea
Swali la kujiuliza ni kwanini umeamua kusafiri kwa pikipiki Mwanza mpaka Moro zaidi ya kilomita 900 hasa ukizingatia faida na hasara?Wakuu habari,nauliza ili nipewe mwanga hapa,naitaji kusafiri kutoka mwanza kwenda morogoro kwa pikipiki sanlg 125 cc,je wataalamu wanisaidie hapa nifanyeje ili nifike vzr na hii pikipiki? Ni mpya ina miezi miwili,
Naombeni mchanganuo nifanye lipi na lipi ili niweze kufika kwa usafiri huu
Hapana. Kikubwa ni umakini na kuzingatia sheria za barabarani.gharama aya kusafiri mwenyewe na Pikipiki almost ni sawa na ukaipakia kwenye lori na ww ukachukua bus maana risk ni nyingi kuliko faida
Duh!!!!? Alitisha sana ni umbali mrefu sana huokuna jamaa yangu alishawahi kutoka nanganga masasi hadi Dar kwa sanlg ila yake ni 150cc.kazi kwako!
Labda atakua ameenda kununua mchele apakie kwny pikipiki yake kupelekea zawadi ndugu zake huko Moro teh teh, itabidi jamaa arudi tena mpk sijui njia ya kule Tinde then aendelee na safari yake hahah.Kahama akatafute nini tena?
Thank u thank uMtoa mada.
Achana na.
1.Jiwe.
2.Nyundo.
3.Spanner (kwanza pikipiki zina toolbox yake ndogo ubavuni)
4.Kisu sijui wamekuambia...
5.Eti mwamvuli
6.Laini kibao za simu,za kazi gani??kuna jamaa wanajua sana kutiana woga asee ni wapi huko unakopita hakuna network??
Haya umeharibikiwa Solya (Manyoni iyo) hizo laini zako zote za simu za kazi gani??utampigia nani??rafiki zako wa Mwanza?wakusaidie nini?
7.Achana na dawa za kuzibia pancha wala kujaza jaza viraka mifukoni,vya nini??unatembea njia gani ambayo haina watu??pancha ya pikipiki inazibwa hata na mafundi baiskeli mzee.
Beba hela tu,ziwe cash kiasi kadhaa na nyingine kwenye mitandao ya simu (inategemea na unaoutumia)
UNAENDESHA PIKIPIKI,NAJUA U AJUA VITU MUHIMU VYA KUVAA KWA AJILI YA USALAMA WAKO SINA HAJA YA KUKUSHAURI,UNAWEZA FUATA USHAURI HAPO JUU.
THEN...
Piga gia mzee unatoboa vizuri kabisa.
Oil ya kubadilisha popote inauzwa mzee,achana na ya kubeba toka mwanza kwanza itapigwa na jua njiani na kulainika kabla ya kuwekwa kwenye injini ndio unakuwa umefanya nini sasa??
KIKUBWA...
Pumzika kila unapohisi,usifanye kama unashindana na kisbo,wao lazma wafike safari yao yaani lazima wafike,wewe hata ukilala njiani haina shida japo unaweza ukatoboa.
KUMBUKA,KILA MAHITAJI UYATAKAYO,YAPO NJIANI.
HAUTOTEMBEA ZAIDI YA KM 50 UKAKOSA MAHITAJI HATA DEMU UNAWEZA KUPATA MBONA WALIOKUSHAURI UJIBEBESHE MAMIZIGO YOOOTE HAYO HAWAJAKUAMBIA BEBA NA DEMU ?(Kuna mtu alishauri japo kiutani)
MANANA YANGU NI KUWA KILA YA AINA YA HITAJI LAKO YAPO KILA SEHEMU.
TEMBEA MZEE BABAH MASUALA YA KUOMBA OMBA USHAURI WAACHIE AKINA @mamadeborah @mamdenyi na wanawake wengine aisee
Toa use.ng wako apaWatu washamba utawajua.yeye anaulizia habari za pikipiki mwingine utakuta anakuja kuleta mifano ya gari. Jamiiforums ina watu wa ajabu ajabu siku hizi. We mdada umeshindwa kumwelewa mleta hoja kabisa.
Facebook inaweza kuingiza more than 10 billion dollar a year usii downgrade kihivyo kuilinganisha na jf bro.Jamaa kaomba ushauri wa namna ya kufika Moro kwa kutumia pikipiki yake.
Hajaomba ushauri wa kujua pikipiki yake ni Mchina/feki au ni ya Japan/Germany wala Italy.
Tujifunze kujikita kwenye mada husika,la sivyo JF itakuwa kama badoo/Facebook.
Sijaongelea income generate!Facebook inaweza kuingiza more than 10 billion dollar a year usii downgrade kihivyo kuilinganisha na jf bro.
Facebook ni pana ati.
Kivyovyote vile iwe in terms of income e.t.c still hupaswi kuilinganisha facebook na Jf nambie wewe Jf imeizidi wapi facebook?Sijaongelea income generate!
Kama wewe unaona Facebook ni kubwa kuliko hapa unafanya nini?
Mm naijua Facebook pamoja na mmiliki wake wewe unaijua Facebook kwa kuitumia tu.
Siku nyingine nikipost/kujibu kitu ujue nina maanisha!!
Hadi sasa hujui utofauti wa JF na FB?Kivyovyote vile iwe in terms of income e.t.c still hupaswi kuilinganisha facebook na Jf nambie wewe Jf imeizidi wapi facebook?
Mimi hata facebook sina account na kumjua Mack Zuckerberg sio kigezo kwamba jf ilinganishwe na fb.
Kajipange.
Hadi sasa hujui utofauti wa JF na FB?
Au ubora wa JF na FB?
Inawezekana wewe umemaliza darasa la saba au kidato cha nne miaka sio mingi nyuma tena kwenye shule za kata.
Hadi sasa hujui utofauti wa JF na FB?
Au ubora wa JF na FB?
Inawezekana wewe umemaliza darasa la saba au kidato cha nne miaka sio mingi nyuma tena kwenye shule za kata.
kHadi sasa hujui utofauti wa JF na FB?
Au ubora wa JF na FB?
Inawezekana wewe umemaliza darasa la saba au kidato cha nne miaka sio mingi nyuma tena kwenye shule za kata.
Sijaongelea income generate!
Kama wewe unaona Facebook ni kubwa kuliko hapa unafanya nini?
Mm naijua Facebook pamoja na mmiliki wake wewe unaijua Facebook kwa kuitumia tu.
Siku nyingine nikipost/kujibu kitu ujue nina maanisha!!
mmFacebook inaweza kuingiza more than 10 billion dollar a year usii downgrade kihivyo kuilinganisha na jf bro.
Facebook ni pana ati.
Tena hata kuziba tyre imekuwa rahisi. Siku hizi kuna hii. Huna haja ya kutembea na makorokoro mengi.Mtoa mada.