Nataka kusafiri kwenda Nairobi, Kenya

Nataka kusafiri kwenda Nairobi, Kenya

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wadau nataka kutoka Dodoma, Tanzania kutembea Nairobi, Kenya tu for like three days.

My budget is 30K Kwa pesa ya Kenya I just want to go and just walk around there and see how Nairobi looks like.

If u've been there, tell me where I can get a nice affordable bed and breakfast with a TV inside.

Is 30K enough? Do I need to go to Namanga ama kuna bus za direct? Do I need a passport ama ID imetosha?

Asanteni [emoji120][emoji120]
 
Wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ungejua wakenya wanavyo shituka wakisikia mbongo anakenda kenya [emoji849][emoji849]usinge thubutu kupost huu uzi hapa umesha wachafua, hivyo hauta waona kwenye huu uzi
 
Results za round 2. Farmaajo bado anazidi kupigwa. Sasa tunaelekea final round.
 
MK254 mpe miongozo...

Bajeti yake ya 30k za Kenya ni ndogo ila itamuwezesha japo labda alale kwenye vigesti na hii ndio huwa tatizo la Watanzania wengi wanaokuja Kenya, huwa hawana hela au wabahiri wanaishia kusaka maeneo yenye hadhi ndogo kisha wanafungua nyuzi kulalamikia huduma za Kenya.

Anyway kwa uelewa wangu
  • Atahitajika paspoti, anaweza akachukua ya muda mfupi (temporal passport) pale Namanga au huko huko Bongo, ifahamike kwenye EAC Tanzania na Burundi ndio bado wamenunia azimio la kutumia vitambulisho baina yetu tunaposafiri.
  • Chanjo ya homa ya njano lazima, aipate huko huko
  • Kupimwa Uviko lazima, na kama atakaa siku tatu itamlazimu kupimwa wakati wa kutoka pia maana atakua amepitiliza masaa 72
  • Usafiri mpaka Nairobi kwa bus kutokea Dar tulikua tunalipa 70,000 Tshs, sijui Dodoma vipi ila humo humo kwenye hiyo bei
  • Gesti za Nairobi zinaanzia kwenye 1,500 Kshs itategemea hela yake
  • Misosi na beer na labda mwanamke, hiyo kama yeye wa hayo mambo asubiri aje Mkenya mwingine ashauri zaidi
 
Kwa Tanzania hiyo hela inatosha kukaa kula na kusafiri kwa wili 2 na hela ya bia ikapatikana hapo hapo na pia ukajilia manzi vilevile. Hii ndio maana ya purchasing power ya hela kwenye economy husika. Ila kwa Nairobi hiyo hela inatosha kusafiri na kulaa max siku 4

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimesema inawezekana hata Kenya, kwa taarifa yako 30k (Tshs 700,000) ni mshahara wa mtu kabisa anaotumia mwezi unaisha ila inategemea na maeneo.

Kawaida sisi Wakenya tunapotaka kuvuka mpaka tukatalii nchi ya watu, huwa hatuna mazoea ya kibahiri ya kubeba vihela vidogo kisha tukalale kwenye vigesti, huwa tunaandaa hela mwaka mzima, unajituma na kutunisha mfuko au kibubu ili ukianza utalii hususan msimu wa Krisimasi unajiachia.
 
Bro piga picha za kibera, machakosi, kariobangi na nyumba zote.za mabati tutumie
Atafika Kibera agundue kumbe nikama tu up town Dar [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
images%20-%202022-04-20T144150.677.jpg
images%20-%202022-05-16T111501.440.jpg
 
Wadau nataka kutoka Dodoma, Tanzania kutembea Nairobi, Kenya tu for like three days.

My budget is 30K Kwa pesa ya Kenya I just want to go and just walk around there and see how Nairobi looks like.

If u've been there, tell me where I can get a nice affordable bed and breakfast with a TV inside.

Is 30K enough? Do I need to go to Namanga ama kuna bus za direct? Do I need a passport ama ID imetosha?

Asanteni [emoji120][emoji120]
Hela ndogo hiyo. Wewe baki kwenu.
 
Hela ndogo hiyo. Wewe baki kwenu.
Hizo hela hazitoshi kabisa kwa utalii jombaa. Labda awe anaye host wakumpokea na kumpa makazi, kwa hizo siku chache na maunjanja pia ya kuendeleza ubahili wake nchini Kenya. 😀 Mimi namshauri azuru tu ndani ya nchi yake, sanasana Chato, akajionee uwanja wa ndege wa kimataifa huku akitafuna tafuna mita kama sita hivi za miwa. 😆
 
Hizo hela hazitoshi kabisa kwa utalii jombaa. Labda awe anaye host wakumpokea na kumpa makazi, kwa hizo siku chache na maunjanja pia ya kuendeleza ubahili wake nchini Kenya. [emoji3] Mimi namshauri azuru tu ndani ya nchi yake, sanasana Chato, akajionee uwanja wa ndege wa kimataifa huku akitafuna tafuna mita kama sita hivi za miwa. [emoji38]
Kwani akifika kwa brother Tony254 vipi...au amjaacha tabia zenu za kuficha wapi mnaishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo hela hazitoshi kabisa kwa utalii jombaa. Labda awe anaye host wakumpokea na kumpa makazi, kwa hizo siku chache na maunjanja pia ya kuendeleza ubahili wake nchini Kenya. 😀 Mimi namshauri azuru tu ndani ya nchi yake, sanasana Chato, akajionee uwanja wa ndege wa kimataifa huku akitafuna tafuna mita kama sita hivi za miwa. 😆
Basi ngoja niwe na bajeti ya 300k sio wakuu
 
Bro ulienda Kenya? Mi nataka niende Mombasa tu ila na gari kutokea Tanga. Taratibu zipoje?

Insurance tu comesa na muda gani utakaa ujazwe Kwenye passport basi jingine chukua 1000/- ya kenya ichange iwe 100 na 50bob kwa ajili ya njiani mwisho vyakula vyao ni hivyo na bei juu ila Mombasa waswahili wanajua kupika kiasi flani na lodge nazo sio za maana ila bei, mengine ni uzungu mwingi sana.

Mi huko ni kama home sina ID yo yote ila natimba tu
 
Wadau nataka kutoka Dodoma, Tanzania kutembea Nairobi, Kenya tu for like three days.

My budget is 30K Kwa pesa ya Kenya I just want to go and just walk around there and see how Nairobi looks like.

If u've been there, tell me where I can get a nice affordable bed and breakfast with a TV inside.

Is 30K enough? Do I need to go to Namanga ama kuna bus za direct? Do I need a passport ama ID imetosha?

Asanteni [emoji120][emoji120]

Hiyo hela ndogo sana!

Hiyo mimi kama mimi ni mwenyeji na lodge siendi napiga ugali fry na kujibana saaaana
 
Back
Top Bottom