Nataka kusafiri kwenda Nairobi, Kenya

Nataka kusafiri kwenda Nairobi, Kenya

Insurance tu comesa na muda gani utakaa ujazwe Kwenye passport basi jingine chukua 1000/- ya kenya ichange iwe 100 na 50bob kwa ajili ya njiani mwisho vyakula vyao ni hivyo na bei juu ila Mombasa waswahili wanajua kupika kiasi flani na lodge nazo sio za maana ila bei, mengine ni uzungu mwingi sana.

Mi huko ni kama home sina ID yo yote ila natimba tu
Bro sina passport. Zile tempo siwezi pata pale mpakani? NIDA haina msaada.
 
Nimesema inawezekana hata Kenya, kwa taarifa yako 30k (Tshs 700,000) ni mshahara wa mtu kabisa anaotumia mwezi unaisha ila inategemea na maeneo.

Kawaida sisi Wakenya tunapotaka kuvuka mpaka tukatalii nchi ya watu, huwa hatuna mazoea ya kibahiri ya kubeba vihela vidogo kisha tukalale kwenye vigesti, huwa tunaandaa hela mwaka mzima, unajituma na kutunisha mfuko au kibubu ili ukianza utalii hususan msimu wa Krisimasi unajiachia.

Alikuja mwaka juzi driver my friend toka Mombasa ana 27k ksh nikampokea isibania nikampeleka kwa msomali akabadili then tukaenda Mwanza nikampeleka La Cairo hakuamini ile hela siku 3 anacheza na lift na kula samaki vila na bia hanywi siku ya kuondoka alinambia 2023 nakuja na familia namsubiri december
Kwa ujumla mkenya akija huku vitu vingi bei akilinganisha na kwao huku ni kama bure kabisa mf: chakula lodg bear na totoz
 
Hivi wabongo mnakuwaga serious Kweli? Yaani jamaa yupo serious kbsa anataka kuja Kenya na hiyo hela kiduchu?

Mleta mada nakushauri ubaki tu huko kwenu uende tu hata pale kitambaa Cheupe utumie hivyo visenti vyako.
 
Back
Top Bottom