Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mkuu Nasikia Passport ,Yellow fever and covid cert ni lazima uwe navyo?Bro piga picha za kibera, machakosi, kariobangi na nyumba zote.za mabati tutumie
MK254 mpe miongozo...
Kwa Tanzania hiyo hela inatosha kukaa kula na kusafiri kwa wili 2 na hela ya bia ikapatikana hapo hapo na pia ukajilia manzi vilevile. Hii ndio maana ya purchasing power ya hela kwenye economy husika. Ila kwa Nairobi hiyo hela inatosha kusafiri na kulaa max siku 4Bajeti yake ya 30k za Kenya ni ndogo ila itamuwezesha japo labda alale kwenye vigesti na hii ndio huwa tatizo la Watanzania wengi wanaokuja Kenya, huwa hawana hela au wabahiri wanaishia kusaka maeneo yenye hadhi ndogo kisha wanafungua nyuzi kulalamikia huduma za Kenya.
Anyway kwa uelewa wangu
- Atahitajika paspoti, anaweza akachukua ya muda mfupi (temporal passport) pale Namanga au huko huko Bongo, ifahamike kwenye EAC Tanzania na Burundi ndio bado wamenunia azimio la kutumia vitambulisho baina yetu tunaposafiri.
- Chanjo ya homa ya njano lazima, aipate huko huko
- Kupimwa Uviko lazima, na kama atakaa siku tatu itamlazimu kupimwa wakati wa kutoka pia maana atakua amepitiliza masaa 72
- Usafiri mpaka Nairobi kwa bus kutokea Dar tulikua tunalipa 70,000 Tshs, sijui Dodoma vipi ila humo humo kwenye hiyo bei
- Gesti za Nairobi zinaanzia kwenye 1,500 Kshs itategemea hela yake
- Misosi na beer na labda mwanamke, hiyo kama yeye wa hayo mambo asubiri aje Mkenya mwingine ashauri zaidi
Kwa Tanzania hiyo hela inatosha kukaa kula na kusafiri kwa wili 2 na hela ya bia ikapatikana hapo hapo na pia ukajilia manzi vilevile. Hii ndio maana ya purchasing power ya hela kwenye economy husika. Ila kwa Nairobi hiyo hela inatosha kusafiri na kulaa max siku 4
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Atafika Kibera agundue kumbe nikama tu up town Dar [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Bro piga picha za kibera, machakosi, kariobangi na nyumba zote.za mabati tutumie
[emoji1787]Bro piga picha za kibera, machakosi, kariobangi na nyumba zote.za mabati tutumie
Hela ndogo hiyo. Wewe baki kwenu.Wadau nataka kutoka Dodoma, Tanzania kutembea Nairobi, Kenya tu for like three days.
My budget is 30K Kwa pesa ya Kenya I just want to go and just walk around there and see how Nairobi looks like.
If u've been there, tell me where I can get a nice affordable bed and breakfast with a TV inside.
Is 30K enough? Do I need to go to Namanga ama kuna bus za direct? Do I need a passport ama ID imetosha?
Asanteni [emoji120][emoji120]
Hizo hela hazitoshi kabisa kwa utalii jombaa. Labda awe anaye host wakumpokea na kumpa makazi, kwa hizo siku chache na maunjanja pia ya kuendeleza ubahili wake nchini Kenya. π Mimi namshauri azuru tu ndani ya nchi yake, sanasana Chato, akajionee uwanja wa ndege wa kimataifa huku akitafuna tafuna mita kama sita hivi za miwa. πHela ndogo hiyo. Wewe baki kwenu.
Kwani akifika kwa brother Tony254 vipi...au amjaacha tabia zenu za kuficha wapi mnaishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo hela hazitoshi kabisa kwa utalii jombaa. Labda awe anaye host wakumpokea na kumpa makazi, kwa hizo siku chache na maunjanja pia ya kuendeleza ubahili wake nchini Kenya. [emoji3] Mimi namshauri azuru tu ndani ya nchi yake, sanasana Chato, akajionee uwanja wa ndege wa kimataifa huku akitafuna tafuna mita kama sita hivi za miwa. [emoji38]
Basi ngoja niwe na bajeti ya 300k sio wakuuHizo hela hazitoshi kabisa kwa utalii jombaa. Labda awe anaye host wakumpokea na kumpa makazi, kwa hizo siku chache na maunjanja pia ya kuendeleza ubahili wake nchini Kenya. π Mimi namshauri azuru tu ndani ya nchi yake, sanasana Chato, akajionee uwanja wa ndege wa kimataifa huku akitafuna tafuna mita kama sita hivi za miwa. π
Bro ulienda Kenya? Mi nataka niende Mombasa tu ila na gari kutokea Tanga. Taratibu zipoje?Basi ngoja niwe na bajeti ya 300k sio wakuu
Bro ulienda Kenya? Mi nataka niende Mombasa tu ila na gari kutokea Tanga. Taratibu zipoje?
Atafika Kibera agundue kumbe nikama tu up town Dar [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]View attachment 2226638View attachment 2226639
Wadau nataka kutoka Dodoma, Tanzania kutembea Nairobi, Kenya tu for like three days.
My budget is 30K Kwa pesa ya Kenya I just want to go and just walk around there and see how Nairobi looks like.
If u've been there, tell me where I can get a nice affordable bed and breakfast with a TV inside.
Is 30K enough? Do I need to go to Namanga ama kuna bus za direct? Do I need a passport ama ID imetosha?
Asanteni [emoji120][emoji120]