Bro sina passport. Zile tempo siwezi pata pale mpakani? NIDA haina msaada.Insurance tu comesa na muda gani utakaa ujazwe Kwenye passport basi jingine chukua 1000/- ya kenya ichange iwe 100 na 50bob kwa ajili ya njiani mwisho vyakula vyao ni hivyo na bei juu ila Mombasa waswahili wanajua kupika kiasi flani na lodge nazo sio za maana ila bei, mengine ni uzungu mwingi sana.
Mi huko ni kama home sina ID yo yote ila natimba tu
Nimesema inawezekana hata Kenya, kwa taarifa yako 30k (Tshs 700,000) ni mshahara wa mtu kabisa anaotumia mwezi unaisha ila inategemea na maeneo.
Kawaida sisi Wakenya tunapotaka kuvuka mpaka tukatalii nchi ya watu, huwa hatuna mazoea ya kibahiri ya kubeba vihela vidogo kisha tukalale kwenye vigesti, huwa tunaandaa hela mwaka mzima, unajituma na kutunisha mfuko au kibubu ili ukianza utalii hususan msimu wa Krisimasi unajiachia.