Naomba kujuzwa kampuni makini ya kusafrisha mizigo kutoka Dar kwenda Babati. Pia kama Kuna mtu aliwahi kusafirisha Kwa bus usalama wake ulikuwaje baada ya kufika.
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa kampuni makini ya kusafrisha mizigo kutoka dar kwenda babati. Pia kama Kuna mtu aliwahi kusafirisha Kwa bus usalama wake ulkuwaje baada ya kufika. Natangulza shkrani kwenu.