Nahitaji kusajili kampuni,sina memorandum, just idea ndio ninayo.Naomba anaye weza kuifanya kazi hii ya kuandika memorandum na kufanya usajili afanye haya hapa chini.
1. Aandike kwenye hii thread bei (total cost atakayo nicharge)
2. Aattumia Muda gani kukamilisha.
kuna babu yupo pale brela ndo kazi zake hizi tena hana tamaa za kijinga yule mzee anaandaa memorandum na articles hata mimi alinisaidia kusajili kampuni yangu....Ukimuhitaji sema nikupe namba zake mkuu
KAMA UKO SERIOUS FANYA KUMU-PM MEMBER MMOJA HUMU ANAITWA SINGO.......utapata msaada wako kwa uhakika na umakini zaidi. AU NI-PM mimi nikupe namba yake ya simu ya kiganjani (only if you are serious) Kila la heri.