Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Nahitaji kusajili kampuni,sina memorandum, just idea ndio ninayo.Naomba anaye weza kuifanya kazi hii ya kuandika memorandum na kufanya usajili afanye haya hapa chini.
1. Aandike kwenye hii thread bei (total cost atakayo nicharge)
2. Aattumia Muda gani kukamilisha.
Product atakayo nipa ni kampuni iliyo sajiliwa.
Karibuni sana watalaam
1. Aandike kwenye hii thread bei (total cost atakayo nicharge)
2. Aattumia Muda gani kukamilisha.
Product atakayo nipa ni kampuni iliyo sajiliwa.
Karibuni sana watalaam