Unapoenda TFDA, watakutembelea na kukagua vitu viwili muhimu;
1. Eneo ambalo unatengenezea huo unga,
2. Eneo unapofanyia packaging, na materials unazotumia kufanyia packaging.
Hivyo ndo vitu vya muhimu, kutokana na ripoti ya huo ukaguzi ndio utafahamu hatua inayofuata.