Nataka kusajili unga wa lishe TFDA; Je, process zipoje?

Nataka kusajili unga wa lishe TFDA; Je, process zipoje?

Mrembomimi

Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
47
Reaction score
35
Wadau naomba msaada wenu nataka kupeleka bithaa yangu (unga wa lishe) ukapate kibali TFDA je ni hatua gani natakiwa kuzifanya ili nisajiliwe?
 
Naomba msaada wenu,nataka kusajili unga Wa lishe TFDA je process zipoje? Naomba mwongozo
 
Unapoenda TFDA, watakutembelea na kukagua vitu viwili muhimu;

1. Eneo ambalo unatengenezea huo unga,

2. Eneo unapofanyia packaging, na materials unazotumia kufanyia packaging.

Hivyo ndo vitu vya muhimu, kutokana na ripoti ya huo ukaguzi ndio utafahamu hatua inayofuata.
 
nenda kawaone ofisini kwao then watakuja kukagua mzigi, sehemu unapozalishia na kufungashia. wakiridhishwa wanakupa kibali
 
Back
Top Bottom