Nataka kusoma fani nyingine zaidi ya niliyonayo

Nataka kusoma fani nyingine zaidi ya niliyonayo

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Nimekuwa katika idara ya elimu kwa miaka kadhaa kama mwalimu,lakini daima siku zote naamini mwenye taaluma zaidi ya moja anajitengenezea vizuri mazingira ya kufanikiwa kimaisha kiurahisi zaidi.

Hivyo nami nawiwa kujiongeza zaidi kwa kusomea masuala ya MUZIKI kama kuimba (kwani nina kipaji hicho na cha kutunga nyimbo), kupiga ala za za muziki/kuwa operator wa vyombo vya muziki.Napenda kusomea masuala ya muziki kwani nina mapenzi nayo na nina imani kuwa muziki ni sanaa ambayo inalipa vizuri kwa sasa.

Je,kwa mawazo haya,unafikiri nimefikiri sahihi/una kipi cha kunishauri?
 
Kikwete mwenyewe amesema akistaafu Uraisi anataka kuimba ubongo wa fleva, sembuse wewe?! wee imba tu,, nchi huru hii,,
 
wazo zurii ticha.." piga kazi.. tena waalim mna mda mwingi free unaweza fanya mambo yako tu
 
Kikwete mwenyewe amesema akistaafu Uraisi anataka kuimba ubongo wa fleva, sembuse wewe?! wee imba tu,, nchi huru hii,,

Hahahahahaha! so it means nitakuwa na mukulu in one industry,ngoja nikazie nia.
 
Back
Top Bottom