niweza kidogo itakuaje na huna idea wala knowledge kabisa ya CIVIL engineering, angalau ungekuwa hata na certificate ya Civil Engineering...
Jaribu kutafuta course za operators for mining underground machines, kama utapata hiyo Tanzania nenda kasome, kama uko vizuri mfukoni dondoka SA ukasome chap......migodi ya underground inatafuta sana watu...tat
Tatizo bajet niliyokuw nayo kiongoz n ndogo ndio maan nikaona n bora nipige veta level one had two nahamin nitakuw na msingi wa civil pmj n uchoraji hilo ndio lengo langu kiongozniweza kidogo itakuaje na huna idea wala knowledge kabisa ya CIVIL engineering, angalau ungekuwa hata na certificate ya Civil Engineering...
Jaribu kutafuta course za operators for mining underground machines, kama utapata hiyo Tanzania nenda kasome, kama uko vizuri mfukoni dondoka SA ukasome chap......migodi ya underground inatafuta sana watu...
N kwel kiongoz ulichosema ila msoto wa kufanya biashara naujua vizuri tena ambapo unafany biashara hiyo hiyo ndio ikulishe wew inakuw n changamotoHiyo hela ulonayo Fikiria biashara fanya...
Utanishukuru baadae achana na hayo unauowaza.
Niniweza kidogo itakuaje na huna idea wala knowledge kabisa ya CIVIL engineering, angalau ungekuwa hata na certificate ya Civil Engineering...
Jaribu kutafuta course za operators for mining underground machines, kama utapata hiyo Tanzania nenda kasome, kama uko vizuri mfukoni dondoka SA ukasome chap......migodi ya underground inatafuta sana watu...
Ila unaweza kunirekebisha kama naenda oppositeniweza kidogo itakuaje na huna idea wala knowledge kabisa ya CIVIL engineering, angalau ungekuwa hata na certificate ya Civil Engineering...
Jaribu kutafuta course za operators for mining underground machines, kama utapata hiyo Tanzania nenda kasome, kama uko vizuri mfukoni dondoka SA ukasome chap......migodi ya underground inatafuta sana watu...
Keep praying, lakini Kilimo kinaokoa watu wengi at the moment ingawa inabidi ujikane kweli kweli ili utoboeNa
Naelew mkuu ila nimeon niwe n fani,ulikuw unanishaurije ndugu yangu kuhusu hii kozi niachane nayo au nifate kozi nyingine?
Chukua plumbing utakuja kunishukuru sanaNa
Naelew mkuu ila nimeon niwe n fani,ulikuw unanishaurije ndugu yangu kuhusu hii kozi niachane nayo au nifate kozi nyingine?