samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
niweza kidogo itakuaje na huna idea wala knowledge kabisa ya CIVIL engineering, angalau ungekuwa hata na certificate ya Civil Engineering...
Jaribu kutafuta course za operators for mining underground machines, kama utapata hiyo Tanzania nenda kasome, kama uko vizuri mfukoni dondoka SA ukasome chap......migodi ya underground inatafuta sana watu...