Nataka kusoma kozi ya maabara lakini sijasoma Physics

Nataka kusoma kozi ya maabara lakini sijasoma Physics

Said1561

New Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Nataka kujiunga na Stashahada ya Maabara lakini Phy sijasoma nina Bios. C Chem..D English...C Kisw...C naombeni msaada wenu na kama mnakijua chuo kinachotoa kozi hiyo nitajienI.
 
andika hiyo kozi vizuri maana neno maabala halitoshi, au tumia tu kiingereza labda utaeleweka.
 
Ingia nacte.go.tz [nacte.go.tz][/URL] upakue guidebook yao
 
Back
Top Bottom