Ndio wakuu naombeni msaada hapa heshima yenu kwanza nauliza tu nataka kuchukua medicine sasa ni lazima nichukue pcb au kuna alternative nyingine pia
by the way nataka kusomea uganda naombeni right advice please
Sifahamu juu ya requirements za chuo Uganda....ila ningekushauri uchukue PCB. Kwa hapa nyumbani vyuo vingi havienroll watu wa kombi nyingine tofauti na PCB (CBG, CBN) kwa ajili ya medicine.