Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu yangu std 7.nataka kujiendeleza lakini muda sina je naweza kusoma kwa posta?Kama kuna mtu ana hata anuani ninakoweza kupata elimu hiyo anisaidie.
sina hakika kama kwa sikuhizi elimu kwa njia posta au masafa inatolewa, labda ujaribu kujiunga na shule au kituo cha elimu kilichopo karibu nawe kinachotoa elimu ya sekondari kwa miaka miwili, watakupa utaratibu kama watakuwa wanakuwezesha kusoma kwa njia masasfa.